real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,303
Habari wana JamiiForums,
Nimeangalia baraza la mawaziri lililoteuliwa na mheshimiwa John Magufuli, na kati ya vitu ambavyo nimevi note ni uteuzi wa Nape Moses Nnauye kuwa waziri wa wizara inayoshughulikia michezo. Kutokana na maujanja ya huyu jamaa kwenye goli la mkono, je, Taifa Stars si lazima itakuja cheza kombe la dunia???