Lazima nimuoe

Jenseny

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
1,743
Reaction score
1,743
Alipopata mimba alinichukia sana aliwafanya hadi wazazi wake wanichukie nashukuru Mungu kajifungua salama mtoto wa kike mzuri kama yeye nyumbani mahaba niue hadi kazini perfomance imebadilika ni mwanamke mzuri wa tabia mvumilivu lazima nimuoe.

Note: Mpende na mheshimu mpenzi wako akiwa na mimba kuna vijitabia atakuonyesha vumilia 9 month sio mwaka.

If God wish i must marry her
 
Sawaa, peleka mahari haraka, usijerudi tena huku kuomba ushauri kukimbiwa
 
Usikute siyo mtoto wako hapo sasa pita kwa mkemia mkuu ukafanye uhakiki.
 
Kumtandika mimba na kumsifia kwa watu wasiomjua (Jf) hakumfanyi mwanamke akuone wa thamani mkuu peleka heshima kwa waliokuzalia na kukukuzia mpaka ukamwaga misifa yako.
Haraka Simbilisi we
 
Kumtandika mimba na kumsifia kwa watu wasiomjua (Jf) hakumfanyi mwanamke akuone wa thamani mkuu peleka heshima kwa waliokuzalia na kukukuzia mpaka ukamwaga misifa yako.
Haraka Simbilisi we
dikteta uchwara nimekuelewa
 
unaoa maisha unayo??? sio unaenda kumlisha mtoto wa watu mbilimbi
 
Doo beta u! Usisahau ahadi yako.
 

UNGEWEKA PICHA INGESAPOTI SANA MAELEZO MKUU.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…