Lazima Lowassa ashitakiwe kwa Ufisadi!!

Hapa naona wale mkuu wa kaya aliosema atawalinda wataletwa mbele kwa ushahidi wao
 
Mi nawaambia Lowasa ashtakiw kwa lolot yet macho magsi waga anaongea tu litakalo toka mdomoni wake akiamuka tu vzr utasikia hv akiamuka vbya utasikia vile halaf baada ya sk mbili tatu kasha sahau alicho kisema
Cjui umeandika nn
 
Ndiyo maana sisi wengine ambao tunaiona hii serikali ni Imara tunaihamasisha wampeleke Lowassa kwenye Mahakama ya Ufisadi, kinyume cha hapo wakae kimya!!
serikali hii haina ubavu wa kumshitaki Lowasa mana kumshitaki ni sawa kuishitaki CCM yenyewe
 
Utakuwa umetumwa!; kwanza unaifahamu ile nyumba ya serikali pale ubungo karibu na sisimizi bar ambayo huyu jamaa yako aliihonga kwa yule binti aliyezaa naye wakati tunasoma naye udsm?
Utafungwa wewe dogo. Hawakusaidii hao wajinga wenzio!
 
Najua umetumwa na mimi ndivyo ninavyoamini, ninachokushauri usilete uzi
Utafungwa wewe dogo. Hawakusaidii hao wajinga wenzio!
Kuwa na adabu wewe mimi sio dogo kama unavyofikiri na baba yako angechelewa kidg ningeweza kukuzaa. Punda wee!
 
Utafungwa wewe dogo. Hawakusaidii hao wajinga wenzio!

Acha atutembeze katika barabara ya ukweli
Hawezi kufungwa tupo tutamdhamini.

Ukweli Upo na umekuwa ukiishi katika fikra zetu.
Ukitaka asisemwe Basi aachie ofisi ya umma.

Alipo sasa yeye ni waumma.
Lazima asemwe.
 
UKITAKA NCHI NA DUNIA ISHANGAE NI KUMPELEKA LOWASA MAHAKAMANI KWANI WATATAJWA WATU AMBAO HUKUWATEGEMEA YULE ALIKUWA CHAMBO TU NDO MAANA YUPO KIMYA ANASUBIRI MTU AMGUSE AWAANIKE WALIOHUSIKA NA RICHMOND TEMEA MATE KULIA UFUKIE KUSHOTO
 
Mkuu, ukitaka kufahamu kama Lowasa atafishwa mahakamni au la tafuta video ya Yusuf Makamba akihutubia mkutano wa kampeni Morogoro.

Kuna mambo ameeleza mle ambayo yanaonyesha mwelekeo wa mahakama ya UFISADI.
 
Achana nalo hili jinga njaa inamsumbua
 
Mkuu, ukitaka kufahamu kama Lowasa atafishwa mahakamni au la tafuta video ya Yusuf Makamba akihutubia mkutano wa kampeni Morogoro.

Kuna mambo ameeleza mle ambayo yanaonyesha mwelekeo wa mahakama ya UFISADI.
Unamuamini huyu aliyekuwa anavuta bangi ofisini
 
waifufue tu tujue mbivu na mbichi atakae pona ccm ni kingunge tu toka utawala wa mkapa.
 
UKITAKA NCHI NA DUNIA ISHANGAE NI KUMPELEKA LOWASA MAHAKAMANI KWANI WATATAJWA WATU AMBAO HUKUWATEGEMEA YULE ALIKUWA CHAMBO TU NDO MAANA YUPO KIMYA ANASUBIRI MTU AMGUSE AWAANIKE WALIOHUSIKA NA RICHMOND TEMEA MATE KULIA UFUKIE KUSHOTO
Atatumwaje Kama mtoto mdogo kwani hana akili?
 
Najua umetumwa na mimi ndivyo ninavyoamini, ninachokushauri usilete uzi

Kuwa na adabu wewe mimi sio dogo kama unavyofikiri na baba yako angechelewa kidg ningeweza kukuzaa. Punda wee!
Wewe zezeta kweli! Utamzaa nani binti mdogo kama wewe hata ungo hujavunja na Shule umeishia Darasa la 3 !
 
Mi ninachoona Rais sometimes anatumia busara kwasababu gani ukisema fulani akamatwe
 
Mimi ninachoona Rais sometimes anatumia busara kwasababu gani ukisema Lowassa lazima ashtakiwe ujue unaweza kusababisha mgongano katika nchi pia Lowassa si tu fisadi peke yake hata Rais yeye alidai pia mafisadi wapo kwenye Chama chake pia, na pia ukisema uwakamate hawa watu kiholele ni watu ambao wamejihimarisha kifedha kwaiyo mi ninachoona labda Rais anachojaribu kufanya kwanza ni ku- balance power kwenye masuala ya finance na watu warudishe mali za serikali walizojimilikisha.
 
Wezi wanajulikana tatizo dhamira za viongozi zinawasuta maana wengi wao walinufaika na dili hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…