Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,111
Bezikale huyu anatuzingua kuwa ni rafiki yake, atakuwa ni yeye mwenyewe, na hiyo ni kwa hisani ya ulanziAkchuale sio "kichaa" ni KICHAA.

Marhabaaa...wanaume shikamoooni!nyie sio wa sport sport
vp alifanikisha?Heshma kwenu wakuu
Kama kichwa kinavyojiekeza .rafiki yangu amenishangaza sana huu ni mwezi kama watatu ananambia anataka azae na kichaa.Nashindwa kumuelewa anania gani .
Kwa kuuliza wakuu kunamadhara kwani au inaweza kumletea matitizo kwa namna yoyote ile
Nawasilisha