Lazima kichaa anizalie mtoto

Lazima kichaa anizalie mtoto

Kipenda Roho a song sang by Remmy there is this verse that says...

'...mbele ya mapenzi kiwete anapakatwa,

Halafu utashikwa na mshangazo kiwete ana mtoto,

Halafu utashikwa na bumbuwazi kichaa ana mimba,

Amepata mshkaji wake....'

Yes. Love everybody.

Not Hump.
 
Imani za kishirikina upelekea wengi kulala na vichaa,
Mara chache labda itokee mtu hayupo katika akili zake.. mf kalewa pomba nk.

ukienda Maganzo mwadui huko.. kunavichaa wengi af wale wa kike mimba hazikauki ni bandika bandua
..
Hata Tabora
 
Labda huyo rafiki yako amepewa hilo sharti na Mganga, umewahi kumuuliza sababu za msingi za kupenda kuzaa na kichaa?
Na vichaa wakalili mtu hao na mtoto akifanana naye itakuwa vizuri ili asimterekeze
 
Heshma kwenu wakuu

Kama kichwa kinavyojiekeza .rafiki yangu amenishangaza sana huu ni mwezi kama watatu ananambia anataka azae na kichaa.Nashindwa kumuelewa anania gani .
Kwa kuuliza wakuu kunamadhara kwani au inaweza kumletea matitizo kwa namna yoyote ile

Nawasilisha
Wewe nahuyo mwenzie machizi,,,unaletaa huku ili ushauriwe nini labdaaa
 
Heshma kwenu wakuu

Kama kichwa kinavyojiekeza .rafiki yangu amenishangaza sana huu ni mwezi kama watatu ananambia anataka azae na kichaa.Nashindwa kumuelewa anania gani .
Kwa kuuliza wakuu kunamadhara kwani au inaweza kumletea matitizo kwa namna yoyote ile

Nawasilisha
UKIMALIZA KUMLA KICHAA NA WEWE UNAKUWA KICHAA
MUNGU ANAKUOOONAA!
 
Kichaa si lazima avue nguo hata matendo yanadhihirisha kuwa ni kichaa yawezekana naye ni kichaa anataka kuzaa na mwenzie
 
Heshma kwenu wakuu

Kama kichwa kinavyojiekeza .rafiki yangu amenishangaza sana huu ni mwezi kama watatu ananambia anataka azae na kichaa.Nashindwa kumuelewa anania gani .
Kwa kuuliza wakuu kunamadhara kwani au inaweza kumletea matitizo kwa namna yoyote ile

Nawasilisha
Love is blindness haaa haaa!
 
Back
Top Bottom