Lazima kichaa anizalie mtoto

Lazima kichaa anizalie mtoto

blogspot

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
1,269
Reaction score
1,147
Heshma kwenu wakuu

Kama kichwa kinavyojiekeza .rafiki yangu amenishangaza sana huu ni mwezi kama watatu ananambia anataka azae na kichaa.Nashindwa kumuelewa anania gani .
Kwa kuuliza wakuu kunamadhara kwani au inaweza kumletea matitizo kwa namna yoyote ile

Nawasilisha
 
Jamaa unanikumbusha huku mtaani juzu jamaa wamekamatwa wakibaka kichaa usiku.
 
Ndo masharti ya mganga ama?
 
Hivi kweli tuseme ni uonevu au ulimbukeni?

Utamuingiliaje mtu ambae akili zake haziko sawa na hajijui kabisa? Tuanze hapo kama sio kubaka huko.

Mimba ataileaje?

Utamtunzaje?

Such a lame joke.
Imani za kishirikina upelekea wengi kulala na vichaa,
Mara chache labda itokee mtu hayupo katika akili zake.. mf kalewa pomba nk.

ukienda Maganzo mwadui huko.. kunavichaa wengi af wale wa kike mimba hazikauki ni bandika bandua
..
 
Jamaa unanikumbusha huku mtaani juzu jamaa wamekamatwa wakibaka kichaa usiku.
wange waacha tu nasikia ukingonoka na kichaa unapata thawabu kwakumtoa nyege. Kuna mmoja analala nje hapa ofisini asubuhi tumekuta kondom kibao watu washafanya yao asili kama y'all mhindi wakati mwingine anapiga pamba mpya
 
Labda huyo rafiki yako amepewa hilo sharti na Mganga, umewahi kumuuliza sababu za msingi za kupenda kuzaa na kichaa?
 
Back
Top Bottom