Lazima heshima irudi

Sasa kama wewe ni KIBUNGO huyo mzee anaweza hata asikuangalie usoni mara mbili
 
"...Ignorance more frequently begets confidence..."
Charles Darwin
 
Hivi jamaaa akitoka na mama yako au ndugu yako wa damu utajisikiaje? Usifanye maamuzi ya kulipa kisasi, achana nae! Move on.

Hahhahhaaaa...Huyo x wa Bidada nae hata asiogope,amtafute Mama wa bidada afanye yake pia.Kisasi cha K on fleek.
 
Ili kumkomoa kabisa njoo,umalizie kwa Mimi babu yake,mjukuu wangu amekosa maadili kabisa
 
Ili umkomoe vizuri mpe akatembee na mama yako pia na wewe utembee na mbwa wake.
 
Hapa ndiyo utapata uthibitisho kuwa wanawake ni akili hawana

Unaweza ukadhani upo ndani ya ndoa na mwanamke kumbe upo na Nuclear Bomb!
 
Bigdada pole huyu kijana ni mshenzi sana nimekua nikimuonya kuhusu hizi tabia naona hasikii. This time ashike adbau ukitoka kwa kaka yangu uje na kwangu mimi babake mdogo. Ili akome kabisa tena fanya haraka.
 
Changudoa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…