Siamini kama Darasa la Dr. Sahinkuye lilibeba VILAZA kama wewe. Nimesoma na huyo mdogo wake Lazaro, class Moja, hivyo nawe ni classmate wangu. Najuta Sana kuwa na classmate disign yako, Sasa naamini wengine mlikuja shule kukua ama kusomea Ujinga. Ni dhambi kwa kijana Msomi kufanya kazi ya Propaganda za CCM!