Mzee Mchopu
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,031
- 268
Kwakile kinachoonekana ni kuwatenga wananchi wake au kuwatupa huyu mh WANANCHI WAKE WAMEPATWA MAAFA HATA kutuma salamu za rambi rambi hajathubutu
hivi majuzi kuna taarifa zimepatikana ilinyesha mvua ya ya mawe iliyokua na upepo mkali sana na kusababisha uharibifu kwenye mashamba ya wakazi wa jimbo lake kwenye kata ya MWASAUYA wakazi takribani 50 walibomolewa nyumba zao ila huyu mbunge wao hajagusa wala kutuma salamu za pole kwao na mbaya zaidi kuna kila dalili ya hao wakazi katika jimbo lake kupatwa na njaa ila mheshimiwa kajitenga na jamii yake. NYALANDU WANANCHI WAKO WANAIMANI NA WEWE, NA UVUMILIVU SI UJINGA.