Lazaro Mambosasa aondolewe Dar es Salaam


Unaandika kiupinzani gani.. mihemuko ya hasira kukujaaa.. lalamikia wananchi ambao ndio wameamua..

Ati IGP wa Dar.. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tulia acha kubebwa mazima na viongozi wenu.. waropokajiiii.. na wannachi wamewasomesha nambaaa..

Pokea salamu 💛💚💛💚💛
 
Tangu lini Mahera aliwakilisha wananchi ?
 
Igp wa Dsm? Chadema mna vituko sana.
 
IGP si kila maoni ya wapinzani hayafai ? sitakushauri tena
 
Mambosasa ni alama ya uovu. Sio kwamba hastahili kuwepo Dar bali hafai kuwa kiongozi wa taasisi yoyote. Huyu na Bashite, ndiyo chanzo cha maovu mengi. Na baadhi ya mambo yamewafanya watu wamchukie Magufuli ni kwa sababu ya hawa watu wawili.
 
🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…