Layers Wanotaga Wanauzwa

Layers Wanotaga Wanauzwa

ndaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
347
Reaction score
49
Wadau nauza kuku wa mayai(layers) wanaotaga kwa mwezi wa 4 sasa.

Ninao 850 na nauza kwa elf 8000 kila mmoja.Nauza kwasababu nabadili ufugaji kwenda kwenye chotara kwaajili ya kuuza vifaranga.

Kwa mawasiliano pls text 0659300000.

Karibuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom