Hongera sana wa nyumbani..kwa wale ambao hamjui....Mafuru ndo Masanilo. So keep your heads up kwa utendaji unaoendana na taaluma yake.... Upele umepata mkunaji.....lol...
Hongera sana Port! Nakutakia utendaji mwema wenye mafanikio. Lakini nakuasa...Usituaibishe kama yule jirani yetu mwingine aliyeiba kodi za wakulima na wavuvi wa nchi hii...na kuhamishia vijisent huko kwa akina Mwanakijiji!
Hahahahaha hapana ndugu yangu! Mimi nitabadili mfumo mzima wa kiundeshaji, benki itakuwa inakwenda kifaida zaidi. Mianya ya wizi na kuweka pesa chafu za wizi kama EPA imefikia mwisho. NBC nitaipeleka next nevel credit card na visa card zaja, banking online facilities, watanzania mtanufaika sana. Niungeni mkono na ushauri chanya nitaupokea.
Watanzania tuna weza kukipewa nafasi
Masa aka Mafuru
There are currently 29 users browsing this thread (1 members and 28 guests)
The youngest, the biggest, nk. hivi visiwe vigezo vya kumpa hongera.
Tusubiri tuone performance maana ni wengi waliowahi kupewa hongera kwa uteuzi na kusifiwa ni youngest, it is bla bla! ...... Matokeo yake ni aibu tuuuu! Munakumbuka uteuzi wa boss wa PPF?
Hongera Lawrence Mafuru; lakini mimi nina caution kidogo hasa baada ya kufanya na hawa wazungu for years now... Mara nyingi ukiona wanalibwaga hilo dude [shirika] ujue either limewashinda au lina masoo kibao!!!!
surely NBC ni hot chair na lina soo kupita tanesco!!! cha kufanya baba... PROVE THEM WRONG!!!!
DO YOU BEST AND FIX THE NO BODY CARE BANK!!
Japo nimechelewa,mie naomba source ya hii habari mkuu Nguli(samahani kama nimekukwaza)Lawrence Mafuru, National Bank of Commerce who was The Head of Treasury has been appointed to be the bank's new Managing Director.Lawrence will succeed Christo de Vries. The effective date is 1 June 2010.
Lawrence will also join the Absa Africa Executive Committee and Absa ALCO. As Managing Director, he will also sit on the NBC Board.
Lawrence joined NBC in 2007 from Standard Chartered Bank Tanzania where he had a successful tenure of close to 10 years. At Standard Chartered, he spent four years in Global Markets, where he was Head of Sales, Rates and Foreign Exchange –Global Markets wholesale Banking.
Lawrence is a certified Chartered Banker from the Chartered Institute of Banking (UK) and a Certified Treasury Practitioner – ACI Financial Markets.
Hongera sana mkuu tupo pamoja, he is the youngest MD NBC has ever had!