Nyakwaratony
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 573
- 140
Hili ni tatizo la mapenzi ya kutarajia urudishiwe kitu
"
Unapokuwa na mwenza wako wewe penda tu bila kujali kama unarudishiwa upendo ama la!
Napita tu, make mi kwa kulaumu hanifikii mtu!!!!:shut-mouth:
Lengo la kupeana ratiba nini? ama kweli mapenzi yanamambo
mie bwana ninapenda uwazi na taarifa...mambo yakuwekana roho juu juu mie sipendi. hivyo mie naona sawa tuu mke gf wangu kujua mizunguko yangu itakuwaje.
Haya mambo ya ratiba ndio hufikia watu wanapangia kupeana tunda...bao moja kwa siku kwa wiki mara moja
Hili ni tatizo la mapenzi ya kutarajia urudishiwe kitu
"
Unapokuwa na mwenza wako wewe penda tu bila kujali kama unarudishiwa upendo ama la!
ubaya ni kwamba mtu huwezi kujiingiza ambapo unajua kabisa hapa hapafai
Ni katika hali ya kutaka kufahamu usalama wa mwenzi wako.
kumbe wapo watu wa aina hii. Hebu tupe mauzoefu wewe unaichukuliaje hiyo hali???
Mkuu simaanishi mapenzi ya kutarajia urudishiwe bali mawasiliano kama mojawapo ya nguzo katika mahusiano ni vyema kupeana taarifa za ratiba zisizo rasmi.
mbona wengine mnayafanya maisha kuwa magumu? Yaani mnapeana ratiba ya siku? Huyo ni jumatatu hadi jumapili? Siku 7 za wiki, siku 30 za mwezi na siku 365 za mwaka? Khaaaaa
Uko sawa,hili ni muhimu.Tatizo unapoanza kupima kama nawe huambiwi hilo ni tatizo!
hilo tu basi! usalama kwamba asichukuliwe/asichukuwe mwengine au usalama wa maisha?
Hizi ratiba ndiyo chanzo cha matatizo ikitokea kwa bahati mbaya tu hupatikani teyari kidonda, mashaka na wasiwasi kwa mpezi!
Babu zetu hawakuwa na ratiba za aina hii, wanahistoria nzuri sana ya kudumu katika ndoa zao, nyinyi na ratiba zenu ni ndoa za voda fast na kutengana hivyo hivyo.
Kinachotakiwa ni uvumilivu, uaminifu na upendo wa dhati kwa mwenzi wako. Ratiba inaokoa nini jamani kuliwakula kupo palepale.