judithgena
Member
- Oct 15, 2013
- 14
- 1
Wasomi hivi individual anaweza akafile criminal case ikiwa Upande wa Republic umeshindwa kumtendea haki ya kufungua shauri
Nafikiri unamaanisha private prosecution ama??Wasomi hivi individual anaweza akafile criminal case ikiwa Upande wa Republic umeshindwa kumtendea haki ya kufungua shauri
Okay msomiNafikiri unamaanisha private prosecution ama??
Kama ndo hvyo, anaweza ktk mazingira finyu na yenye changamoto mno kisheria.