Law school of Tanzania- walimu wanabaka haki za binadamu

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,205
5,964
Wahadhiri wengi wa LAW SCHOOL OF TANZANIA wako pia kwenye taasisi za kiraia zinazoshungulika na haki za binadamu. aidha wamekuwa mstari wa mbele kulaumu utendaji wa serikali na taasisi zake. kinachonishangaza wakati wanapata mda wa kufanya hayo hawana mda kabisa wa kusahihisha mitihani ya wanafunzi wao. huu ni ubakaji wa dhahiri wa haki za binadamu kwani unawanyima fursa wanafunzi waliopita , walipo na watakaopita LST.
 
wanaobaka haki za wanafunzi ni serikali ya CCM hasa KIKWETE, huwezi kuita wafanyakazi mbayuwayu. Walahi inakera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…