Law Firms za Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Law Firms za Tanzania

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by paesulta, Dec 19, 2011.

 1. paesulta

  paesulta JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  naomba kwa aliye na uwezo,atuwekee Law firms za hapa nyumbani,kwa websites zao, tujaribu bahati huko hata kwa kufanya kazi kwa kujitolea ili tupate uzoefu kuliko ilivyo sasa kukaa kitaa tu bure.
   
 2. big-diamond

  big-diamond JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 225
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Wataka kujitolea kwa nafasi gani?
  Je ukipata kazi ya Ukarani utakubali kutumwa kufanya filing?
  Unajua computer kwa kiasi gani?
   
 3. neyl

  neyl Senior Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  samahan hii haikuwa thread yangu but nimekuwa interested, me pia natafuta place ya kujitolea post yeyote computer najua ms word na excel nimemaliza LLB mwaka huu
   
 4. paesulta

  paesulta JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu natafuta sehemu ya kujukeep busy,hata ukarani nitafanya,mradi nisikae kitaa siku nzima.Nnajua computer kwa working level,Word,Excel.Nategemea kupata experience flani kutokana na kufanya kazi za kujitolea.
   
Loading...