Law 1: Never outshine your master

Acha woga wewe ,hii nchi wakuu ni mahouse girl wa wananchi ,anaeweza nitishia nje ya katiba ,hapo hapo hastahili kuwa kiongozi
 
Yatosha mwanafunzi kuwa kama mwalimu wake.(Jesus).

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ideology zako uamini ktk kumiliki kutawala watu yaani zidumu fikra za kiongozi, jua mazingira na wakati umebadilika,huu ni wkt wa fikra huru, isipokuwa tu usikiuke Sheria. Wengi kuongea ukweli uonekana ni ukosefu wa adabu.
 
As a GT weka mifano hai kuthibitisha kauli yako

Jr[emoji769]

Azingatie ushauri wa chidii benzi kwanza ndo laws yenyewe aandae mazingira Mazuri ya Gerezani mfungwa mtarajiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…