Laurent Desiree Kabila vs Joseph Kabila again

So, What is this For ? Itawasaidiaje Watanganyika? Au ndio kuendelea kutuchanganya... Fanya Utafiti kwanza basi? 'cause u still leave this matter in a suspense... and create more questions than answers to more audiance...

Umeona -- tulivyo na shida? Tuna Internet tunashidwa kutoa habari pefu; tunazidisha Maswali kwenye hizo habari...
 
Last edited by a moderator:

acha uvivu unataka utafuniwe kila kitu sio?nobody will come to help you,unatakiwa kupambana mwenyewe brother
 
Kwanini waweka hiyo habari iko in YOUTUBE na unasema ni Laurent Desiree vs Joseph Kabila again; but the YOUTUBE has nothing to do with the tittle -- hivyo ndio JINSI tunaanza kuweka habari za kusikitisha???

Wivu wa nini? Wakati nasikitika JINSI wabongo tunavyozidi kupungukiwa na TechKnow HOW...
 
Mkuu sasa na wewe badala ya kuongeza confusion si ungetueleza wengine ambao hatujaelewa / hatuna bundle za kuangalia movie clip ? au na wewe haujaelewa ?
 
Kuna story MBILI hapo ndio Maana Ninamuuliza ni IPI anayotaka kuieleza?
 
Wanahangaika nini tena, Joseph Kabila kila mtu anajua kuwa sio Mkongomani ni Mnyarwanda anaeitawala DRC
 
Back
Top Bottom