Laurence Masha anastahili adhabu gani?

Status
Not open for further replies.

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
830
184
Jf nivigumu kuwa na amani/furaha unapokutana na mtu ambaye amefanya unyanyasaji kwa ndugu,jamaa hata marafiki zako wa karibu.Nimekutana na huyu aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Laurence Masha hapa Rose Garden.Huyu bwana kipindi cha uongozi wake amewahi kutumia rungu la dola kumfanya business partner wangu kuuza nyumba na hata familia yake kumtenga.Huyu anastahili adhabu gani haswa?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom