Latest picture ya Lowassa leo Dodoma, strong and fresh as newborn

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,428
13076958_707963392678488_4833417135139275142_n.jpg
 
Kupanda ngazi ni sifa ya wazee na si ajabu ww unaweza usipate hiyo sifa maana utatangulia mbele za haki kabla ya kuwa mzee. Usidharau wazee maana sio kila mtu anaweza kuwa mzee

Nimemdharau wapi?

Hao waliomtukana toka 2007 mpaka alipoungana nao 2015 watakufa lini?

Maanake inaonekana wewe ndiye huwapangia watu siku za kuishi.
 
Acha kuweweseka sijaongea suala la kutukanwa. Nimeongelea dharau yako kwa huyo mzee kuwa apande ngazi bila kushikiliwa. Mi nimekupa ukweli mchungu kuwa uzee ni sifa na sio kila mtu atapata hiyo sifa..ikiwemo wewe.
 
Naona unarukaruka tu,nimekwambia uoneshe dharau ilipo.

Kwa hiyo waliomtukana hawafi ila wanaomdharau ndo watakufa?

Acheni unafiki na kukimbia kivuli chenu.

Kama kwako Lowassa ni mtume kwa wengine ni fisadi anayesubiria mahakama yao.
 
Hatimaye amewagundua kuwa vibaka waliokuwa wanamdanganya na kumlia hela zake!

Mungu ampe afya njema
 
Naona unarukaruka tu,nimekwambia uoneshe dharau ilipo.

Kwa hiyo waliomtukana hawafi ila wanaomdharau ndo watakufa?

Acheni unafiki na kukimbia kivuli chenu.

Kama kwako Lowassa ni mtume kwa wengine ni fisadi anayesubiria mahakama yao.

Naina unataka ubishani na mm...nineshakwambia ww huwezi kuwa mzee. Sifa ya kuwa mzee huna.
 
Back
Top Bottom