Latest CAF Club ranking,Simba SC yawa ya 20, Yanga 57

Sio Musonye tu mkuu.. hata Kagame anawatambua Simba ni nani
Ndiyo mabingwa wa kihistoria,Simba mara 5,Yanga 4.....msonyi anawaza mapato badala ya maendeleo ya soka,kuna siku akija Tz atapigwa mawe maana kagusa kulwa na doto,then Tifua tifua wanzingua ilitakiwa wamuonye kwa kauli zake za kishamba
 
Nasikia mashindano yalioisha jana amepata hasara... mashabiki walikuwa wanaingia bure
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom