Late lunch...

Naaaam. Sasa leo hapa tunakubaliana, naona Sima. Hii ndio food. Sio vile vyakula vya kunasia panya ambavyo huwa unapenda kupost kila mara. 🙂 Alafu ni dhambi kwa Mola kula sima kwa kutumia kijiko.
 
Dah umenifanya niagize ugal fasta! Bwana misosi upo vizuri kwa hilo dona...
 
Naaaam. Sasa leo hapa tunakubaliana, naona Sima. Hii ndio food. Sio vile vyakula vya kunasia panya ambavyo huwa unapenda kupost kila mara. 🙂 Alafu ni dhambi kwa Mola kula sima kwa kutumia kijiko.
anunue vyombo mi naona havina ushirikiano.
 
Watu ambao wameshiba ndio huwa wanaangalia angalia vyombo. Sisi wengine ambao tumekuja kwasababu ya msosi huwa tunangoja kuona Made in China, kuleee chini kwenye sahani. Baada ya hapo ndio sasa tunaanza kuamkua watu. [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hahaha, hapana mkuu ni kwaajili ya kusagia pilipili
 
Watu ambao wameshiba ndio huwa wanaangalia angalia vyombo. Sisi wengine ambao tumekuja kwasababu ya msosi huwa tunangoja kuona Made in China, kuleee chini kwenye sahani. Alafu ndio sasa tunaanza kuamkua watu. [emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Watu ambao wameshiba ndio huwa wanaangalia angalia vyombo. Sisi wengine ambao tumekuja kwasababu ya msosi huwa tunangoja kuona Made in China, kuleee chini kwenye sahani. Baada ya hapo ndio sasa tunaanza kuamkua watu. [emoji38][emoji38][emoji38]
Ahahaaa mi mwanamke bna siwezi peleka msosi mezani hvo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…