Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,939
Hapana mkuu ila najua ningekuwa sio mkulima ningekula kama nyinyi tu maana jembe linafanya tule sana
Aaaah yule jamaa kanizidi maana lile tumbo lina sebule na chumba [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85]Mkuu utakua na tumbo kubwa sana, inawezekana uko kama Lemutuz[emoji3][emoji3]
Aaaah yule jamaa kanizidi maana lile tumbo lina sebule na chumba [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85]
Huyu kanizidi ila mchele lazima kilo 2 nyama kilo 2Unategemea lile tumbo litakua linachukua kiasi gani?[emoji3][emoji3]
Hapana mkuu ila najua ningekuwa sio mkulima ningekula kama nyinyi tu maana jembe linafanya tule sana
Kwanini mkuuHahahahaaa nahisi wewe utakuwa mwanasheria kama hukusomea basi una chembe chembe za uanasheria kwenye damu yako.
Kwanini mkuu
Unavotetea haja yako hehehehe
Sasa hayo mayai ya kichina yana virutubisho gani mkuuKula sana sio uanaume, jambo la msingi ni kula vyakula vyenye virutubisho.
hicho kitepekitepe pembeni kushoto hapo ni nini mkuu
Kula mkuu mwanaume lazima atofautiane na mwanamke ktk kula afu nachukia mwanaume anaekula chips mara kwa mara yaani unakuta mwingine et mm sipendi ugali[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu mi nakula kwa kuwa kazi yangu inaniruhusu kula sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa yai kwa ugali kweli!
Mtaendelea kula pweza mpaka waishe baharini.
hiyo kitu hatari sana.kisamvu
Mkuu ujue sisi wengine hatujui kuvunga kwenye kulaUnavotetea haja yako hehehehe
Hiyo ni Spanish OmmeleteZege la nini hapo Sasa, wanaume wa Dar bila kula zege la mayai ya kisasa hawawezi kabisa.