Nafikiri inabidi hata wewe ukubali kuwa G-Funky Ilitawala, inatawala na itaendelea kutawala na hasa bahati yao kubwa ilikuwa kuwapata watu wanne yaani Tupac, Dr. Dre, D.O.C na Snoop na huku nyuma yao akiwa amesimama Myahudi aitwaye PIANO MAN au Scott Storch (Sijui kameishia wapi na kubuguia unga?) Ila ukweli ni kuwa Piano Man bila Dre na D.O.C si mali kitu.
Okay, so if we go with just the header what was the point of writing all that senseless jazz under the header then imply that we ignore it?Read again the heading of this thread.
duh, ahsante fishziller.
yaani you have taken me waaaay back. i had 3 brothers walinifanya m'babe kweli.
kuna ule wimbo chorus yake inaimba "lets talk about sex babe, lets talk about you and me. lets talk about all the good things, and the bad things that make me. lets talk about.."
Naombeni SAMAHANI kwa kutoka nje ya thread kidogo ila naona nimsaidie Sister wetu King'asti kupata miziki ya enzi ya Kaka yake wakati akizirudi Break Dance:
Ollie and Jerry - There's No Stopping us
Chaka Khan na wimbo wake wa AIN'T NO BODY: Breakin' - Ain't Nobody - YouTube
Mwisho nimalizie na Band niipendayo hadi leo, SHALAMAR na hapa ni Mkongwe Jeffrey Daniel akijituma baada ya Mama Judy Watley kuwa kajifungua na Band kushindwa kufika ikiwa nzima. Baadhi ya step zake utagundua kuwa Michael Jackson alizitumia hasa kwenye wimbo wa Moon Walker ambapo Jeffrey alimpa shule Michael.
BTW: Kumbuka siku zote, kabla KC&JOJO, kulikuwa na JODECI ambao walifunga kazi kwa vibao kama CRY FOR YOU na FENNIN (feat. Roger troutman, mzee wa Computer Love).
Mwaka 2002 Busta Rhymes akiwa na Mariah Carey alikuja na kibao cha I Know What You Want..
Mwaka huo huo, Nelly akiwa na Bibie Kelly wakaja na wimbo wa Dilemma ambapo kwenye Video, walionekana wakonge kama Patti LaBelle kama mama yake Kelly. Wimbo huu hadi leo siyo siri naupenda.
Late 90s ulikuwa teenager? Aisee...naona nimeshaanza kuzeeka sasa:A S shade:
Well, kuna hizi ngoma zilibamba sana late 90s....Can I get A - Jay Z ft. Amil & Ja-Rule
Hii ngoma ni kama ndo ilimtoa Ja-Rule. Ilitoka mwaka 1998 nikiwa junior in college.
Ngoma ya Juvenile - Back that azz up kutoka kwenye album ya 400 Degreez - nayo ilibamba kinoma. Hii ilitoka '98 lakini haikushika kasi hadi '99. Ngoma hii pamoja na "Ha" ndiyo zilikuwa 'breakout' singles za Juve.
Halafu kuna Bia Bia - ya Lil Jon feat. Ludacris, Too $hort, Big Kap, na Chyna White. Hii ngoma nilikuwa naitwanga sana kwenye '87 Chevy Caprice yangu - hahahaaa yeah, I used to drive a hooptie coz that's all I could afford at the time.
Moja ya ngoma za mwanzo mwanzo za crunk. Club watu walikuwa wanajitoa fahamu ikitwangwa.
Baada ya hii Lil Jon akawa mainstream!
Ila kwa nini umeamua kuanzia late 90s na early 2K? Turudi nyuma hadi late 80s - enzi za akina Rob Base & DJ EZ Rock, Schooly D, Redhead Kingpin, Kool G Rap, Masta Ace, n.k.
Scott ni noma aisee..na ile kinanda! Dr. Dre alijivunia sana kuwa na hicho kichwa. Hadi akawa na bifu na Jermaine Dupri juu ya upigaji wa kinanda, kumbe alikuwa akijivunia mkono wa Storch.
Hivi unafahamu ile ngoma ya Fat Joe, 'Lean back', Scott ana mkono wake mule? Pamoja na hizi:
1. You got me ya The Roots, 1999.
2. Still D.R.E ya Dr. Dre ft. Snoop, 2001.
3. Break your neck ya Busta Rhymes, 2001.
4. X ya Xzibit, 2000.
5. Just a little bit ya 50 Cents, 2005.
6. I'll hurt you ya Busta Rhymes, 2004 au 2005.
Scott alikuwa noma. Nasikia sasa anadai ameachana na ujunkie! Sasa sijui kama ataendelezea mikuno yake.
Okay, so if we go with just the header what was the point of writing all that senseless jazz under the header then imply that we ignore it?
Get this: N.O.R.E does not punctuate "the era that saw the boom of down-south hip hop music." Simple as that.
"Asubuhi mchana na usiku ....yeyoo yeyoo " Hayo yalikuwa maneno ya vijana wa Solid ground Family walitamba na ngoma kama "Bush Party,Kibonge". University Corner wazee wa T-Shirt na Jeans ,Crazy GK (Mama)Dully Sykes-Handsome,Pro J-Zali la mentali,T.I.D-Zeze,Ngweair-Mikasi,Jaymoe-Kimiya kimiya,Dataz-mume wa mtu,Q.chie-uhali gan,Mr Nice-Noorah-Ice cream
Wewe utakuwa Mmenye haa haa haa ...Umenikumbusha mtegoDa ilo pini umenikumbusha kuna mtoto wa fogo flan tulikuwa tunaxul naye alikuwa na tape karecord huo mpini alafu alikuwa kiongozi wa social so jumamosi mtego(Tv) wakitoa kwenye Hall tulikuwa tunatizama hiyo tape.
Whoa!... whoa!...whoa!.... stop!Dude, the late 1990s and early 2000s was the era that saw the boom of crunk and heavy bass music.
Bass has been around since the dawn of sound! Please!
Whoa!... whoa!...whoa!.... stop!
Heavy bass music did not boom beginning in the late 1990s and 2000s.