UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,585
- 1,883
Serikali imefuta road licence sasa sijui mapenzi yatakuwajeee
[HASHTAG]#PYTHONWAKIUME[/HASHTAG] ahahaaaHeeee
Kumbe Urban Gentlemen Umeooooaa? !
Du
Na kunisumbua kote kule mpaka nikaku block, kweli leo nimekamata mwizi!
Shame on u!
[HASHTAG]#PYTHONWAKIUMEAU?![/HASHTAG]
labda mchepuko una mimbaSerikali imefuta road licence sasa sijui mapenzi yatakuwajeee
Maisha baada kabla ya kuoa its totally different ukioa nyumbani unarudi saa mbili ukichelewa unakuwa na sababu za kueleza why lateHeeee
Kumbe Urban Gentlemen Umeooooaa? !
Du
Na kunisumbua kote kule mpaka nikaku block, kweli leo nimekamata mwizi!
Shame on u!
[HASHTAG]#PYTHONWAKIUMEAU?![/HASHTAG]
Huyo mwanaume katisha... hata kama limbwata hiyo imepita kiwango!!!Dah!!!aiseeh kuna wanaume wana roho za kikatili jamni.badala ya kumtetea mke yeye anamtetea mchepuko!!kha!!nisamehe Mungu maana kwa ninavyojijua lazima ningemmwaga mwanaume damu japo kidogo.
Siezi shughulika na mchepuko hata robo maana kama si mwanaume huyo mchepuko asingepata jeur ya kumkoromea mke wa ndoa
Haha poleWas it a coincidence kukutana pale na mme wake?? Inaonekana ni kiwanja ambacho jamaa anapenda kuwapeleka mabinti! na mkewe pia kapelekwa mara kadhaa. Sasa mke ameamua kwenda kujichana mwenyewe, mume nae kaja na mchepuko wake. Nhaaaa.
Nkajua mwisho wa stori classmate nae atachepuka na jamaa.
Umeoa mkuu? Basi huwajui vizuri waliooa? Siku hizi hawajifichiLazima hiyo ndoa ina matatizo watu waliooa huwa hawajiachii na michepuko sehem za public namna hiyo