Chief Lugina
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 286
- 77
nathani google ndo wapo juu hapa bongo.
Yaani mi nataka nipate experience on how softwares are developed!Hii google Ina wafanyakazi wangapi hapa bongo?Kuna kampuni nasikia zinatwa SATCONET na softech. ziko chini ya mmiliki mmoja.
Kwa mjibu wa wikipedia 2009,10 largest global Software companies ilikuwa ni:
Back to the heading hebu tuangalie hapa ni makampuni gani ya Software yanayoongoza hapa Tanzania......
- Microsoft
- IBM
- Oracle Corporation
- Accenture
- Yahoo
- HP
- Symantec
- Capgemini
- Computer Sciences Corporation
Kama unajua kampuni ambayo unadhani inaweza kuwa blargest hapo home weka hapa chini mwisho wa siku tuje list ya ukweli. tutaanda badi ya majaji ambao watapitia hayo makampuni then tupate list ya uhakika ambayo itakuwa kwa mjibu wa JF.
Mi nadhani issue siyo kuwa na software nyingi,but unaweza kuwa nazo chache but ni popular na zinauzika sang! Fanyeni hv nitajieni makampuni makubwa ya kutengeneza software kwetu Tanzania!
Kwa mjibu wa wikipedia 2009,10 largest global Software companies ilikuwa ni:
Back to the heading hebu tuangalie hapa ni makampuni gani ya Software yanayoongoza hapa Tanzania......
- Microsoft
- IBM
- Oracle Corporation
- Accenture
- Yahoo
- HP
- Symantec
- Capgemini
- Computer Sciences Corporation
Kama unajua kampuni ambayo unadhani inaweza kuwa blargest hapo home weka hapa chini mwisho wa siku tuje list ya ukweli. tutaanda badi ya majaji ambao watapitia hayo makampuni then tupate list ya uhakika ambayo itakuwa kwa mjibu wa JF.
Please kwa yeyote mwenye Activation key za Artisteer naomba tafadhali!
as per January 2013 ni hizi
1. Microsoft
2. Oracle
3. SAP 
4. Symantec
5. VMware
6. CA Technologies
7. Adobe Systems
8. Intuit
9. Fiserv
10. Amadeus IT Grou
Mkuu, thanks a lot but a source couldn't do anything bad.
badilisha footer yako Tazama michezo live katika gym nayotumia kukuzia misuli ya IT- http://teknohama.x10.mx/live-sports/Hii google Ina wafanyakazi wangapi hapa bongo?
Kuna kampuni nasikia zinatwa SATCONET na softech. ziko chini ya mmiliki mmoja.
badilisha footer yako Tazama michezo live katika gym nayotumia kukuzia misuli ya IT- http://teknohama.x10.mx/live-sports/