Kuna Apple,Toshiba, Lenovo, Hp, Acer au Dell ndio mpango mzima ila Apple, Lenovo na Dell ndio hatari zaidi hasa kwa uimara na pia kiuwezo. Ila inategemea na aina ya Model. Kwa dell sikushauri ununue Inspiron series. Na kama unaitaji PC yenye nguvu za Chukua Elienware series yani hiyo ndio mwisho wa matatizo ya Graphics Video ila zinagharama sana na watengezaji niliowaona ni Dell, Toshiba na Lenovo.