Laptop

tisa desemba

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
434
114
Wadau,

kwa wale wataalamu wa mambo ya IT, plz naomba mnipe ushauri wa mambo ya kuzingatia kabla ya kununua kompyuta ndogo.
nahtaji kununua laptop kwa ajili ya kwenda nayo huko kijijini nilikopangiwa baada ya ajira mpya za walimu, itakuwa vizuri sana mkinishauri brand ipi nzuri, na sehemu gani naweza kununua hizo laptop kwa hapa dar (new or used) nina sh. 700,000/=
 
sioni kama umefungua uzi sehemu husika

kwa mtizamo wangu unahitaji laptop yenye uwezo wa kukaa na charge mda mwingi ningependezea notebook za samsung zinakupa masaa tisa.na ukbwa wa memory labda lkn sioni kazi kubwa utakazo fanya za kuhitaji ukubwa mkubwa.320 gb inakutosha na 2 gb ram.screen kubwa nzuri kwasababu utakuwa unaandika sana.ukitaka brand za samsung used nitakupatia namba za wadau wanao uza.
 
Back
Top Bottom