Laptop zenye Fire wire Port Kwiney ! baada ya kamera za kadi!

Laptop zenye Fire wire Port Kwiney ! baada ya kamera za kadi!

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,393
Bandugu,
Nimemtuma rafiki yangu ambaye yuko ulaya kuninunilia laptop mpya yenye firewire port kwa ajili ya DV video capturing leo amekwenda dukani nao wamweleza kuwa baada ya kuanza matumizi ya kamera za kadi na kuacha kutengeneza kamera za tape sasa hata laptop zenye hizo option sasa zinaanza kupotea.

mimi nafanya video editing kwa muda sasa lakini siamini kabisa hizo camera za kadi(ninayo moja mpya kbisa ya lakini ni aibu kwa kuwa hizi kamera kila PAUSE inaSAVE na wakati mwingine hivyo vipande haivipangi katika mfuatano hali ambayo ni kazi katika editing.

Hivi hawa 'wazungu' mbona wanatupeleka puta jamani!
 
FireWire is another versatile port that you can use for connecting many peripherals. This way, it competes with the USB port. While USB ports seem to have more of a market share currently, the FireWire port is much faster. It is also known as the IEEE-1394 port or i-Link port.
Because of its speed, it is often replacing USB in devices that require large amounts of data transferred fast, such as external hard drives, CD-ROM's and video and audio devices.
Today, two FireWire standards exist: FireWire 400 and FireWire 800. But today's laptops mainly come with FireWire 400 built-in.
[h=2]
firewire-vs-usb.gif
The FireWire Port is twice as fast![/h]FireWire 800 can transfer data at up to 800 Mbps (megabits per second), and so it's twice faster than the USB 2.0. That means you can send more than a CD's worth of data every ten seconds.
And it is 30 times faster than the USB 1.1.

  • USB 1.1 - 1.5MB/sec
  • USB 2.0 - 60MB/sec
  • FireWire 400 - 50MB/sec
  • FireWire 800 - 100MB/sec (800Mbps/sec)
This extremely fast FireWire 800 port is used in applications such as high-speed storage, video capture, video and graphics.



[h=2]This is how FireWire ports used in laptop computers look like:[/h]

[TD="width: 20%"] Port Name [/TD]
[TD="width: 20%"] Port Picture [/TD]
[TD="width: 35%"] Used to Connect [/TD]
[TD="width: 25%"] Description [/TD]

[TD="width: 20%"]FireWire 400[/TD]
[TD="width: 20%"]
firewire-port2.jpg
[/TD]
[TD="width: 35%"]Digital camcorders, scanners, printers, storage devices, digital camcorders and cameras[/TD]
[TD="width: 25%"]IEEE-1394 6-pin[/TD]

[TD="width: 20%"]FireWire 800[/TD]
[TD="width: 20%"]
firewire-port1.jpg
[/TD]
[TD="width: 35%"]Digital video (DV), professional audio, hard drives, high-end digital still cameras and home entertainment devices[/TD]
[TD="width: 25%"]IEEE-1394a 9-pin[/TD]
[h=2]How to use a FireWire port[/h]
firewire-picture1.jpg
Multiple FireWire ports can be added to your cheap laptop by connecting a FireWire Repeater with up to 6 ports, or better yet, you can try a USB/FireWire Combo hub. Combo hubs can be connected to your laptop through the USB or the FireWire port.
If your laptop doesn't have FireWire then you can always get a FireWire adapter card that fits into the PCMCIA card slot (or NIC card slot). It looks like this >
Companies such as Sony, Canon, JVC and Kodak have widely adapted to FireWire.
Adapter cables for the FireWire 800 9-pin connector let you use the FireWire 400 products on the FireWire 800 port.
[h=2]Differences between FireWire 400 and FireWire 800[/h]The FireWire 800 is backwards compatible with the FireWire 400 but you have to use a specific adapter cable to connect FireWire 800 device to FireWire 400 port or FireWire 400 device to FireWire 800 port. When the FireWire 400 and 800 devices are mixed, the transfer rates revert to the lesser 400 speed.

nimeisoma sehemu
 
Sasa Rutunga M ndo umeandika nini? Nani kakwambia tunahitaji miPaste yako hapa?
 
Last edited by a moderator:
USB 3 ni faster kuliko Firewire, ingiza hizo video clip kwenye video sofware kisha fanya editing mambo yakae sawa, kuna laptop zenye Firewire bado zinapatikana ila kwa vile vifaa vya Firewire vinazidi kupotea ni chache zaidi.

Kama unahitaji sana asi unaweza kununua desktop yoyote hata second hand ovyo ovyo ukaweka firewire PCI card ukawa unaitumia kucapture video.
 
Wewe umecopy information za mwaka gan? usb 3.0 speed yake ni 5 Gbit/sec, sasa kuna haja gani ya fireWire
 
Keyser Söze;5999802 said:
Wewe umecopy information za mwaka gan? usb 3.0 speed yake ni 5 Gbit/sec, sasa kuna haja gani ya fireWire


Unasemaje kuhusu issue hii 'kila uki PAUSE camera ya kadi inaSAVE na wakati mwingine hivyo vipande haivipangi katika mfuatano hali ambayo ni kazi katika editing"
 
Unasemaje kuhusu issue hii 'kila uki PAUSE camera ya kadi inaSAVE na wakati mwingine hivyo vipande haivipangi katika mfuatano hali ambayo ni kazi katika editing"

lakini si kila clip ina namba so unaweza kuzipanga katika mfuatano mzuri!!!
Teknolojia inasonga mbele kaka.
 
lakini si kila clip ina namba so unaweza kuzipanga katika mfuatano mzuri!!!
Teknolojia inasonga mbele kaka.

Assume umerekodi event ya masaa 4,utapanga vipande vingapi,
tunakubaliana na tech mpya lakini bado mfumo wa tape utaendelea kuwa bora zaidi kwa kadi
 
USB 3 ni faster kuliko Firewire, ingiza hizo video clip kwenye video sofware kisha fanya editing mambo yakae sawa, kuna laptop zenye Firewire bado zinapatikana ila kwa vile vifaa vya Firewire vinazidi kupotea ni chache zaidi.

Kama unahitaji sana asi unaweza kununua desktop yoyote hata second hand ovyo ovyo ukaweka firewire PCI card ukawa unaitumia kucapture video.

hii usb3 ipo vp? Au ndo tv tuner
 
jaman msaada kuhusu hyo usb 3. Sina idea nayo hata kidogo ipo vp? Je kamera gani zinaweza kutumia hyo
 
Kuna kadi unaweza kununua Kadi yenye Firefire port na ukaiweka kwenye Laptop yako. Hizi Kadi bado zinauzwa na unaweza kuitumia hata kwa miaka ijayo. Kila la kheri.
486266_081123000032_FUL1_F5U513ea.jpg
 
hapo kuna mengi,labda settings na pia hilo suala la kujipanga lbda pia kuna settings za jins ya kuzisort ie kwa size,wakat iliporekodiwa etc,so jaribu kuchek settings
 
Bandugu,
Nimemtuma rafiki yangu ambaye yuko ulaya kuninunilia laptop mpya yenye firewire port kwa ajili ya DV video capturing leo amekwenda dukani nao wamweleza kuwa baada ya kuanza matumizi ya kamera za kadi na kuacha kutengeneza kamera za tape sasa hata laptop zenye hizo option sasa zinaanza kupotea.

mimi nafanya video editing kwa muda sasa lakini siamini kabisa hizo camera za kadi(ninayo moja mpya kbisa ya lakini ni aibu kwa kuwa hizi kamera kila PAUSE inaSAVE na wakati mwingine hivyo vipande haivipangi katika mfuatano hali ambayo ni kazi katika edit
ing.

Hivi hawa 'wazungu' mbona wanatupeleka puta jamani!

Tatizo unataka kutumia teknolojia ambayo si appropriate kwa video editing, yaani Windows. Apple ni teknolojia pekee ambayo imetengenezwa mahsusi kwa kazi hiyo. Google MacBook Pro upate specs unazozihitaji kisha mtume huyo nduguyo. Usiogope gharama. Kwanza siku hizi bei za Apple computers zimeshuka sana. Si kama zamani.
 
P. S. Kuhusu FireWire, baada ya Apple kutengeneza FireWire 400 na FireWire 800, sasa wamekuja na kitu kipya kabisa. Kama sikosei kinaitwa ThunderPort. Yaani kwa upande wa mwendokasi, ni sawa na mwendokasi wa FireWire 800 mara mia!
 
Back
Top Bottom