pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,406
- 4,799
Wapi zinauzwa hizi laptop hapo dar?nasikia ni cheaper kulinganisha na zingine kama dell Toshiba Apple n.k
Dar kubwa kaka....vizur utusaidie sehemu na bei zake!mazima
As ante.Kuna duka lipo barabara ya Morogoro karibu na junction ya Samora, ni jirani na duka kubwa linauza vifaa vya umeme.