laptop yangu ya dell inatatizo hili

mackmambo

Senior Member
Jul 7, 2018
106
65
wakuu habari zenu pc yangu inatatizo nikiwasha kidogo inawahi kupata moto na inachemka balaa naomba kujua ni tatizo gan hilo masaada wenu
 
kiongozi itakuwa na shida upande wa cooling system tafuta fundi mueleze itakuwa ile feni iliyopo ndani ya PC ina matatizo muone fundi atakusaidia ndugu hilo tatizo lilishawahi kunitokea kwenye PC yangu.
 
sema feni inazunguka lakin moto uko pale pale
 
Feni itakuwa imezeeka sasa badala ya kupuliza baridi inapuliza joto. Siunajua wanasemaga hata malaika akizeeka anakuwa shetani!?
 
Fungus feni piga blower halafu rudisha tena ukiona bado inachemka badili hapo kinachofuata processor itafeli !!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom