Laptop yangu inawaka na kuzima

Laptop yangu inawaka na kuzima

Mateka

Senior Member
Joined
May 2, 2011
Posts
131
Reaction score
41
Wandugu wazima?

Laptop yangu ya HP inanisumbua kweli yani nikiwasha inawaka kama sekunde moja tu then inazima hata kwenye bios setting haifiki. sijui tatizo litakua nini wajameni?
 
Mkuu check na :-

1. RAM kama imekaa sehemu yake sawia.
2.Check na processor kama imekaa mahala pake maana (Expansion na Contaction kwa PC ipo saana tuu).
3.Kama 1.2 bado cheche check na motherboard,Tatizo kama hilo nishakutana nalo mara kadhaa kwenye DELL Latitude D620 hadi D630
 
Asante kwa ushauri. Ngoja nicheck then nikupe feedback.
 
mi natumia dell d610, samtimes inawaka fresh.
muda mwingine inagoma na kuandika " memory parity error "
kuna fundi nilimpelekea akacheki ram, processor havina shida mpaka nimeamua kutulia nayo cjajua tatizo ni nini
 
Mimi yakwangu ipo tu ndani mpaka nakaamua kununua nyingine... ilikuwa inazima kama baada ya dk 15 iv or sometimes inadisplay rangi tofauti tofauti kwa wakati tofauti..


nb: anayetaka kioo na mazaga mengine anione dell insprion 5030
 
utakuwa umeweka betri la saa ya kimwekumweku ndio maana inafanya hivyo.
Nalog off
 
Back
Top Bottom