Poleni na majukum ya kujenga taifa wakuu.
Nina laptop aina ya packard bell, imekuwa ikijizima mara kwa mara hususani ninapoweka modem na kuingia mtandaoni, cjui tatizo ninini.
Naombeni msaada wenu.
Natanguliza shukrani
pole,kwa tatizo ulilonalo.tatizo inaonekana ni la vifaa unavyotumia kwenye hiyo computer yako.kwa haraka unaweza kujaribu kutoa(uninstall)drivers za hiyo modem Kisha reinstall inwezekana zilizopo hazikutimia au hazifanyi kazi tena