Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,134
- 664
Muwe makini na kudownload ma vitu huko torrents hasa pirated softwares. Nunua strong anti-virus weka kwenye mashine ako.Kama kichwa kinavyojieleza, naombeni msaada jinsi ya kuitoa hiyo virus na kurudisha mafail yangu katika format sahihi.
Kwasasa picha, audio, video, docs etc zote zipo locked na .wiot format, hivyo siwezi hata kuzifungua.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
ah, yaani nimesikitika sana kwani ni zaidi ya wiki sasa bila mafanikio, nami ndo hivyo ntapoteza vitu vingi sanaNasikitika kukwambia umepigwa RANSOMWARE.
1. Usilipe hiyo pesa wanataka na sio guarantee watakufungulia
2.Unaweza kusearch online kama hiyo .wiot inaweza kuwa decryoted
3. Full format your HDD/SSD
Mnunuage basi antivirus nzuri
----
Ogopa sana .Cerber3 ransomware virus
HABAR, Wakuu hiyi kitu inaitwa .cerber3 ransomware, ni kirusi kibaya zaid ya kilichowahi kutokea dunian kwa sasa Kinafanyaje kazi: kinaingia kwa njia za kawaida kama kirus kingine tu, ila hiki ni kwamba kina enrypt mafaili yako yote kwenda .cerber3 enxtension pia kila ndan ya folder...www.jamiiforums.com
Hapa ndio mimi nilipata kipigo enzi hizo
Ni kweli, na nilikuwa natafuta kitu cha kijinga kweli.Muwe makini na kudownload ma vitu huko torrents hasa pirated softwares. Nunua strong anti-virus weka kwenye mashine ako.
Virus wa computer wabaya sana sitaki hata kukumbuka. Waliniharibiaga HDD yangu yenye miziki ya kazi angu zaidi ya miziki 500k
Asantee, Hapana mkuu, sijapata mwongozo badoPole sana...
Natumae mleta mada ulipata muongozo...
Nitumie program gani kurecover?Msafiri Kasian
Unaweza kuiformat pc haraka then ujaribu data recovery. Hiyo ndiyo njia rahisi zaidi, ingawa uhakika wa kurudisha vitu vyote ni asilimia ndogo.
Si unajua hizo files mpya (encrypted files) zinavyozidi kukaa kwenye pc kwa muda mrefu zinaoverwrite ile kumbukumbu ya files za mwanzo kwenye hard drive. Kwa hiyo hata ukifanya recovery kwa kuchelewa zitakuwa zinarudi hizo encrypted files ambazo zimekuwa encrypted na ransomware.
Tumia EaseUS partition recovery, ingawa inakuwa ni ya kulipia kwa hiyo tafuta cracked version. Na kwenye recovery unatakiwa uwe una storage ya pembeni kama external drive ambayo itatumika kama target drive kwa ajili ya kuhifadhi hizo recovered files.Nitumie program gani kurecover?
AsanteeTumia EaseUS partition recovery, ingawa inakuwa ni ya kulipia kwa hiyo tafuta cracked version. Na kwenye recovery unatakiwa uwe una storage ya pembeni kama external drive ambayo itatumika kama target drive kwa ajili ya kuhifadhi hizo recovered files.
Samahani mkuu, nimetumia hii EaseUS data recovery lakini baada ya kuscan data zinaonekana shida nikirecover ina stuck at 0%, nifanyeje? msaada tafadhaliTumia EaseUS partition recovery, ingawa inakuwa ni ya kulipia kwa hiyo tafuta cracked version. Na kwenye recovery unatakiwa uwe una storage ya pembeni kama external drive ambayo itatumika kama target drive kwa ajili ya kuhifadhi hizo recovered files.