mkalisniper
Member
- Feb 18, 2017
- 20
- 5
Kweli kabisaPunguza baadhi ya vitu kama betri hard disk keyboard itapungua uzito
Ila si mbaya cos ndipo uelewa wako ulipo ishiaPunguza baadhi ya vitu kama betri hard disk keyboard itapungua uzito
Poa ngoja ni JaribuPiga Windows chini.
laptop ikiwa nzito ingia task manager bonyeza ctrl na alt na delete kwa pamoja utaingia.
ukiwa task.manager nenda advanced halafu utaona jinsi resource zinavyokwenda kama una windows za zamani kama 7 na kushuka ingia resource monitor ndio utaona vizuri ila kama ni win 8 au 10 hapo hapo utaona jinsi inavyokula HDD, ram na cpu.
vitu kama HDD na ram kama vimejaa unaweza kuvi upgrade, kama kuna program inaoleta huo uzito unaweza ukaitoa, nk
hard disk ipo slow mkuu, si unaona inatumika 99% wakati ram na cpu zinateleza tu.View attachment 476446....mkuu yangu mimi ina onyesha kama hivo..nikiwasha tu pc inakuwa nzito kidogo na process zinaenda taratibu mpaka ikae sawa ni unasubiri..pia wakati wa kuzima ina kuwa ina stuck kwanza then ndo inazima...
Processor ni intel i7 ya 2nd gen na quad
Ram 8gb
2gb amd graphic
Hdd 1tb..
Je nini inaweza kuwa tatizo?
Sasa chief nimeangalia naona ni window process ndo zinakula sana hyo space...Na suala la ssd sijajua compatibility na nimeona kama ssd ni gharama kuliko hddhard disk ipo slow mkuu, si unaona inatumika 99% wakati ram na cpu zinateleza tu.
click hapo kwenye disk zitajisort app zote zinazokula sana bandwidth ya hard disk zitatokezea.
pia kama laptop yako ina slot mbili za hdd eka ssd itasaidia sana.
ndio ni gharama ila kama una slot mbili ssd ya 128gb inatosha kueka os na program muhimu na hio 1tb utaeka mambo mengine.Sasa chief nimeangalia naona ni window process ndo zinakula sana hyo space...Na suala la ssd sijajua compatibility na nimeona kama ssd ni gharama kuliko hdd