Laptop yangu imekataa kucharge!moto auiingii!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
Wakuu mimi nina HP Compaq610 juzi nikiwa field nimejaribu kuitoa katika umeme inazimika kiwango cha umeme katika betrii ni 37% nasas ujazo hauongezeki na nikitoa plug inazima sasa sijui nini naombeni msaada na kama betri imekufa nijulishwe!
 
Ebu jaribu kui-charge na adapter nyingine ya Hp.. kuna saa tatizo linakua kwenye betri na kuna saa tatizo liko kwenye charger/adapter yenyewe.
 
Wakuu mimi nina HP Compaq610 juzi nikiwa field nimejaribu kuitoa katika umeme inazimika kiwango cha umeme katika betrii ni 37% nasas ujazo hauongezeki na nikitoa plug inazima sasa sijui nini naombeni msaada na kama betri imekufa nijulishwe!

kwa kweli siwezi kukupa jibu la haraka haraka tatizo ni nini lakini kuna uwezekano mkubwa wa betri yako kuwa imekufa au likawa nitatizo la mda tu.
 
Wakuu mimi nina HP Compaq610 juzi nikiwa field nimejaribu kuitoa katika umeme inazimika kiwango cha umeme katika betrii ni 37% nasas ujazo hauongezeki na nikitoa plug inazima sasa sijui nini naombeni msaada na kama betri imekufa nijulishwe!
Mkuu.@KakaKiiza HP Compaq610 itakuwa hiyo betri yako imesha kufa jaribu kama kuna mtu mwenye Laptop kama Model yako hiyo Betri yako iweke Betri yako kwenye Laptop ya Rafiki yako kama Moıdel yako ya kwako uichaji utaona ikifika hiyo Asilimia 37% na ikizimika ujuwe kuwa hiyo Betri yako imeshakufa ununuwe Betri ingine kuu kakakiiza pole sana.
 
Back
Top Bottom