kuna kipindi niliichokonoa nikatoa sauti nikawa nasikiliza kwenye headphone, baadae nkashindwa kuirejesha nkafikir labda window, nka-instal new window, window 7 ndio hata nikiweka headphone hamna tena kitu, msaada kwa anayejua tafadhali!

tatizo hilo linasababishwa na vumbi,..peleka kwa fundi mmpe jero akupulizie kwenye spika..hata fundi tv anacho icho kifaa.. Hîi kitu ni iwapo kuna kipindi ziliwah kukoroma