umurumaithaa
Member
- May 9, 2015
- 70
- 8
Jaribu kutumia kwa monitor au TV via VGA au HDMI.. kama itaonyesha kwa TV au monitor basi ujue display kwaheri.. Baada ya kuiwasha na connect HDMI au VGA tumia shortcut ya Windows+P mara mbili kufanya duplicate ya display yako..
Ase mr ata mimi nina lenovo ila tatizo ni hlo hilo ila nkipitia shortcut kuingia "my computer" huwa naweza ata kuplay cd na kuskiliza ila screen ndo gza
Aisee,nilidhani Niko peke yangu,ila yangu Ina waka vizuri tatizo haileti ma folder kwenye desktop, msaada tafadhari wakuu
Ase mr ata mimi nina lenovo ila tatizo ni hlo hilo ila nkipitia shortcut kuingia "my computer" huwa naweza ata kuplay cd na kuskiliza ila screen ndo gza
Hiyo yako haina tatizo la hardware, bali ina tatizo la software, unatumia wimdows gani? Fanya system restore
Jaribu monitor ya nje. Hiyo yako itakuwa inawaka ila imekufa illuminator (tubes), ambazo ndio zinaleta mwanga kwa nyuma ya screen ili uweze kuona, ukiwasha weka kwenye mwanga au tumia tochi kwa makini saaana angalia utaona icons kwa mbali wakati laptop imewaka
Anh ok ,so hujapata fundi au tatizo linakua kwa mda ,
bado sijaenda kwa fundi mkuu ila ndo mpango wangu huo
Aisee,nilidhani Niko peke yangu,ila yangu Ina waka vizuri tatizo haileti ma folder kwenye desktop, msaada tafadhari wakuu
Kabla hujaenda mbali umeshajaribu kuright click then view then show desktop icon?
Mkuu,Mkwawa Mara ya kwanza iliponizingua ,nilifanya kama unavyoonielekaza icon zote zikarudi ,nimejaribu tena hivyo zaidi ya Mara tatu ,haikubali zaidi ya desktop picture tu inayoonekana mkuu
Maybe file explorer umelifuta. Alternatve hapo ni kutumia task manager
Bonyeza ctrl alt na delete kwa pamoja then chagua task manager
Ikifunguka task manager click file halafu new task then andika neno explorer then utaona kila kitu kitarudi.
Kama havirudi alternative hapo hapo kwenye task manager ukiclick file then new task click browse tafuta desktop utapata vitu vyako.
Hujawahi kueka live walpaper??