Ikizimika pale inapotaka kuwaka shikilia F8, chagua safe mode, ikiwaka safe mode then fanya diagnosis kama ni kwa ku run sysdm.cpl ili kufungua system properties itayokusaidia kuondoa auto restart then ufanye diagnosis zingine na restoration. Uzuri wake windows kabla ya kuji update inasave system backup.Nime update laptop na kila nikiwasha inagoma inasema ime start vibaya itafanya auto restart na mchezo unaishia hapo...naomba msaada kwa wataalam
"corona ipo tuchukue tahadhari"
Ume update laptop au mfumo uliomo?Nime update laptop na kila nikiwasha inagoma inasema ime start vibaya itafanya auto restart na mchezo unaishia hapo...naomba msaada kwa wataalam
"corona ipo tuchukue tahadhari"
Ok, sawa mkuu nilikuwa sijaona comment yako.Ikizimika pale inapotaka kuwaka shikilia F8, chagua safe mode, ikiwaka safe mode then fanya diagnosis kama ni kwa ku run sysdm.cpl ili kufungua system properties itayokusaidia kuondoa auto restart then ufanye diagnosis zingine na restoration. Uzuri wake windows kabla ya kuji update inasave system backup.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hatari ni kuwa na drive c ambayo ipo full ama karibu na kujaa. Ikifikia hatua hiyo restore point files zinahifadhiwa kwenye sectors ambazo zimewahi tumika ama zisizo na ubora.Mimi kitu nafanyaga huwa ni system image backup, hiyo huwa haifeli 100℅...
Mkuu ingependeza kama ungetupa na steps za kufanya hiyo system image backupPia hata kama drive c haijawa full kuna baadhi ya program zinazosababisha restoration isifanikiwe.
Mfano mimi nikiwaga nimeinstall ZoneAlarm kisha PC ikaleta shida nikataka kufanya restoration huwa haifanikiwi hata kama nitaing'oa hiyo ZoneAlarm.
Hivyo hubidi nifanye recovering with system image.
Ukitaka uone raha ya hiyo kitu, install windows yako, kisha weka programu zako pendwa na mambo yako pendwa halafu tengeneza system image backup kabla pc haijapata shida yoyote kisha tunza kwenye external storage.
Sasa endelea kutumia pc yako, na kama umeongeza kitu kizuri na bado pc yako unaona iko safi, fanya tena system image backup kwa kureplace ile iliyopo kwa kutegemea ukubwa wa external storage yako.
Utafurahia na kuepuka kunitafuta mara kwa mara ili nikusaidie
Sent from my cupboard using mug
aisee toka nimewanza kutumia wwindows 10 yani nimesahau masuala ya kupiga window kila mara, nilinunua PC ikaja preinstalled windows 10 huu mwaka wa 2 naelekea wa 3 sijawahi shusha windows na naiacha iupdate jinsi inavyotaka tu sina habari na wala siizuii.Pia hata kama drive c haijawa full kuna baadhi ya program zinazosababisha restoration isifanikiwe.