Laptop Tam inahitajika

Laptop Tam inahitajika

Uncertainty

Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
70
Reaction score
27
Wadau Habari za wikiend na poleni na misukosuko ya maisha,
Ninahitaji laptop nzuri aina ya DELL yenye specification angalau hizi
HDD kuanzia 500GB
RAM 3-4 GB
Processor 5i
Na vingine kama kuna Mtu ana duka ama anafahamu duka zuri aniambie ipi inapatikana na kwa bei gani au anipm
 
Mkuu nina kitu kitakacho kufaa kabisa.. !

Dell Inspiron 3543... Core i5 2.2ghz 5th Generation... ram 4gb and hdd 500gb... *2gb Dedicated nVidia 820m*... 15.6" LED Display

***** Price is 700k *****
1470593560095.jpg
1470593576344.jpg
1470593590713.jpg
 
Nenda pale kariakoo mtaa wa uhuru kama unaelekea mnzi mmoja kulia kutoka 4 ways junction Mataa zamani round abt
 
Mkuu kwa 500 k unapata pale kkoo nenda kuna HP moja matata ipo bado ina spex hizo hizo
 
Twende 700k...kama muhitaji kweli, 550k hata i3 kupata labda iwe ishapigwa spana..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom