Laptop specifications

Richbest

Senior Member
May 23, 2011
101
24
Habari wapendwa! Nataka kununua laptop ila sio mtaalamu so naomben mnisaidie specifications za laptop ya kisasa na aina nzur ya laptop nawasilisha
 
Unaitaka kwa matumizi gani?

Pia uki-search humu ipo posti ya MziziMkavu kama sijakosea inaelezea hilo.
 
Habari wapendwa! Nataka kununua laptop ila sio mtaalamu so naomben mnisaidie specifications za laptop ya kisasa na aina nzur ya laptop nawasilisha
Mkuu swali lako lipo open mno, jaribu kuwa specific unahitaji kwa matumizi gani, bajeti yako inarange kwenye sh ngapi nk.
Kwasababu ukisema tu laptop ya kisasa nzuri utatajiwa mac book hadi m3 na kuendelea
 
nafkir ni used maana
nina kama laki tano nataka kwa matumizi ya kawaida na binafsi kama kusurf internet
 
Nadhani specifications zitakusumbua kama sio mjuzi sana wa terminologies.
Ningekushauri utafute yenye Intel Core i3 au i5 na Windows 7 itakuwa imekamilisha kila kitu under the hood na mara nyingi huwa zina vibandiko -label -kabisa
 
nafkir ni used maana
nina kama laki tano nataka kwa matumizi ya kawaida na binafsi kama kusurf internet

kama used unaweza kupata dell au hp ya,
2ghz proc. Dualcore
160gb hdd
1gb ram
dvd writer.
tembelea maduka ya used computer mjini na kwa matumizi yako hiyo inafaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom