Laptop nzuri ni yenye specs hizi:
Processor: Duo core na kuendelea
RAM: 2GB na kuendelea
Hard Disc Drive: 250GB na kuendelea
Pia iwe na webcam, DVD-RW,
Brand nzuri ni pamoja na Toshiba, Dell, Compaq
Walau ukiwa na laki 6 unaweza kupata laptop nzuri
Mkuu Vipi kuhusu Lenovo na HP 4gb RAM na terabyte hard disk Kwa 550,000
Mkuu Vipi kuhusu Lenovo na HP 4gb RAM na terabyte hard disk Kwa 550,000
Nzuri sana, lakini ni mpya kweli hii kwa bei hiyo? processor je? maana kuna uhuni utakuta jamaa wanaongeza hard disc na RAM lakini kumbe processor ni ndogo sana maana kwenye pc cha kwanza ni processor RAM na HDD unaweza kubadili muda wowote
Processor inatakiwa iweje hebu dada vua kidogo,na ni mpya Ina guarantee ya mwaka mzima