Mu7
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 1,655
- 2,003
- Thread starter
- #21
Kinachonifanya nishtukie hii pc mpya ni kwa sababu hilo limejitokeza sasa tu. Kwa pc ya zamani haikuwa hivi!Speed ya internet ya wifi hotspot tu sio upya wa laptop,mimi natumia modem ya voda huwa kuna uafadhali kidogo ola nikiconect hotspot ni sekunde umamaliza Gb 1