Laptop lak 6 na 30

Laptop lak 6 na 30

kizobrax

Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
44
Reaction score
1
laptop,HP inauzwa,ina 80harddsk,1gb
ram,,na v2 vyake vngne! Txt
me1,,0717012656
 
kaka unauza computer pia? Nimeona umesema Laptop ukaweka coma HP au unauza Laptop aina ya HP?
Kama una computer nijibu. asante
 
Jamani hiyo laptop inafanana na bei. Maana laki sita mtu unaanza kuuliza specs. Anh!!!!
 
bomu. hdd 80 ni ndogo kwa mtumiaji mzuri hata hiyo ram 1gb bado sana
 
Laki 3 nanusu utachkua mkuu? niPm kama unachkua kwa hiyo pesa,,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom