Laptop kugoma kusoma moderm.

Laptop kugoma kusoma moderm.

manuu

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2009
Posts
4,064
Reaction score
10,748
Nini inaweza kuwa tatizo nina laptop yangu nilikuwa nikitumia moderm ya Airtel kwa kipindi kirefu ila juzi ghafla ile Moderm ikagoma kufanya kufanya kazi kwenye hiyo machine ikinipa Msg ya No service na kwenye machine ingine inasoma fresh tu.
Nini inaweza kuwa tatizo?
 
je inaonesha dalili yyt ya kwamba network inashika ? kama ndiyo ujue ni tatizo la drivers...jaribu kure-install upya driver zake
 
Back
Top Bottom