Hp ni 2.5 Ghz. Sijui kama ni refurbished, maana iko kwa mtu alikua anaitumia. Nina uwezo wa kuichukua na kukaa nayo kwa muda, na kuichunguza, Samsung ina Windows 8, Rating inasoma 4.3
Hp ni 2.5 Ghz. Sijui kama ni refurbished, maana iko kwa mtu alikua anaitumia. Nina uwezo wa kuichukua na kukaa nayo kwa muda, na kuichunguza, Samsung ina Windows 8, Rating inasoma 4.3
nimejifunza ukiwa member wa JF lazima uwe mvumilivu kwa majibu Mazuri, makali, upuuzi,matusi nk. otherwise utakuwa mtu wa kutukana na kutukanwa kila siku
Kwa ushauri wangu HP ni bora zaidi. Kama ni duo Core maana yake ina Processor 2 kila moja ya 1.5 GHz
Memory tu ni ndogo 2 GB, lakini kama Processor ni ndogo memory kubwa itakuiongezea matatizo tu.
Chukua HP, upgrade Memory kufikia 4 GB