Laptop inazingua kusave batery | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Laptop inazingua kusave batery

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Rjohn, Oct 6, 2012.

 1. Rjohn

  Rjohn JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 599
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  nisaidieni ninapotumia laptop inazingua kusave moto tena inaandika not charging or 0% charging na nikitoa kwenye moto inazima! ni ""lenovo""
   
 2. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Jaribu kuangalia kama battery imekaa vizuri kwenye slot yake, hilo likishindikana kuna uwezekano kwamba battery yenyewe imekwisha fikia mwisho wa uhai wake - kanunue nyingine. Sidhani kama kuna matatizo yoyote kwenye charging circuit yake.
   
Loading...