KIDUDU
JF-Expert Member
- Sep 17, 2012
- 2,558
- 1,928
Heshima mbele wakuu, Nimerud tena na laptop yangu isiyoisha matatizo. laptop yangu ni Toshiba satellite, ina window 7 ultimate, inanikosesha raha yaan, nikiifunua tu inawaka yenyewe, tatizo n nn? inanisumbua kichwa kwa 7bu hata mtoto akiichukua atafungua mwenyewe, niokoeni hapa jameni, MR. ABEL na wengine, okoeni jahazi plz.
NATANGULIZA SHUKRANI
NATANGULIZA SHUKRANI