Second hand
Member
- Jan 20, 2013
- 72
- 7
Habari nyote ma-technician wa jf! Naomba nisaidieni miye mdogo wenu; nimeletewa laptop na mshua mpya aina ya toshiba but sijajua sianzie wapi, nabaki naishangaa plz nishaurini vitu vifuatavyo ikiwezekana na zaidi. Nitumie window gan? ,antivirus gani? , niweke microsoft office gani? na mengineyo; miye mwanachuo mtarajiwa Hii machine ni 1.8 GHZ, RAM 4 GB, HD 500 GB . NATANGULIZA SHUKRANI!