Wadau nina laptop ya Samsung note book N100SP inanizingua kutype na sijui nifanye vipi setting zake
keys za u, i,o p,j,k,l,m kwa chini zina namba
tatizo nikibonyeza hizo keys zinatokea namba badala ya herufu hivyo nakwama kuandika kabisa
inatumia windows 8 pro
any suggestion
key
wataalam naombeni ujuzi wenu please
Mkuu gmabumbe nashukuru lakini bado inagoma, ilikua uk nikabadili usa bado shida ipo palepale
Option 1
Option 2
Kuweka ON | fn + numb lk
kuweka OFF | fn + numb lk
- Bofya kwa pamoja Crtl + fn kisha bofya mara mbili SHIFT
- Hapo utafanikiwa | Karibu
Mkuu naomba nitoke nje ya topic kidogo.. samahani lakini mleta mada, kuna jamaa yangu amenunua PC, ameishia tu kuweka window tu PC yake imeibiwa na mpaka leo haijaonekana!
mkuu huyu jamaa bado ana manual book, hivi nawezaje kupata pc iliyopotea kwa kutumia manual book? msaada tafadhali, kaja kwangu kuniomba msaada..
Option 1
Option 2
Kuweka ON | fn + numb lk
kuweka OFF | fn + numb lk
- Bofya kwa pamoja Crtl + fn kisha bofya mara mbili SHIFT
- Hapo utafanikiwa | Karibu
Mi pia nna tatizo hilo. Nimefuata haya maelekezo lakini hazijakubali. Number keys. 4 6 8 0 ndio hazifanyi kazi. Anyhelp plz?
Miss u
Mi pia nna tatizo hilo. Nimefuata haya maelekezo lakini hazijakubali. Number keys. 4 6 8 0 ndio hazifanyi kazi. Anyhelp plz?
- 4,6,8,0 hazifanyi kazi? Je buttons za keyboard zingine ziko sawa.
- Tatizo la mleta mada ni kwamba akitaka herufi J mfano, kinachojitokeza ni number, hivyo alitaka njia ya kuondoa hili tatizo kwamba akibofya J basi itokee J na sio number
Mkuu vipi kama unajua IP address?..
- Hakuna uwezekano wa kuipata.
- Atoe taarifa polisi [iwapo ana vielelezo vya umiliki halali],na kama ikitokea akamjua mwizi wake siku ya siku, ili aweze kurudishiwa na kuchukuliwa hatua za kisheria zaidi huyo mwizi.
Thanx a million mkuu......it work like charmOption 1
Option 2
Kuweka ON | fn numb lk
kuweka OFF | fn numb lk
- Bofya kwa pamoja Crtl fn kisha bofya mara mbili SHIFT
- Hapo utafanikiwa | Karibu
Thanx a million mkuu......it work like charm
tatizo limebaki kwenye screen resolution, nyingi ya software zinakataa kufunga sababu screen resolution yangu ndogo na imefika mwisho zaidi ya inayotakiwa ku run hizo software
nafikiria kushuka chini kwenye windows 7
Thanx a million mkuu......it work like charm
tatizo limebaki kwenye screen resolution, nyingi ya software zinakataa kufunga sababu screen resolution yangu ndogo na imefika mwisho zaidi ya inayotakiwa ku run hizo software
nafikiria kushuka chini kwenye windows 7
Mkuu hii makitu inasumbua sana aisee, nimehangaika na graphics card intel hawana drivers za windows 8 zipo za.wn7 ambazo hazileti matokeo mazuriDownload graphics driver tuuu. Hata ukiweka 7 same problem
JINSI Y A KUFANYAMkuu hii makitu inasumbua sana aisee, nimehangaika na graphics card intel hawana drivers za windows 8 zipo za.wn7 ambazo hazileti matokeo mazuri
nimebadili hadi registry. nikapata resolution inayotakiwa lakini application zikifunguka zina stuck hadi ni restart kimeo
hivi tayari nimeisha weka win7 nakata kiu nikiridi home nadownload drivers nione matokeo
sishauri mtu.anunue hizi notebook ni usumbufu
Haitowezekana, Je IP address ni nini? Fuatana nami kwenye hizi linkMkuu vipi kama unajua IP address?..